×

Live: Rais Samia Akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu na Wakurugenzi

 

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 06, anawaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu wao pamoja na wakurugenzi aliowateua hivi karibuni juzi Aprili 4, 2021.

 

Leave a Comment