BAADA ya Harmonize kuachia wimbo wake Aprili 12, 2021wa #VIBAYA wimbo unaozungumzia wakati anaopitia kwenye mahusiano yake kwa sasa, staa wa muziki kutoka WCB, Rayvanny ametangaza kuachia wimbo mpya alioupa jina la Nyamaza.