×

Mrembo Aliyepata Ugonjwa Wa Ajabu Afika India Kwaajili Ya Matibabu -Video


MREMBO Hawa Hussein Ibrahim ambaye mwanzoni mwa mwaka huu aliwaomba Watanzania msaada ili aweze kufanyiwa matibabu ya ugonjwa wa ajabu alioupata. Hata hivyo amefanikiwa kufika India kwa ajili ya matibabu na amewashukuru Watanzania pamoja na wote waliomsaidia na kumuombea.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment