
WASANII wa Bongo Fleva, Baba Levo na mwenzake, Rayvanny tayari wametoka katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Sentro) baada ya kuhojiwa kufuatia kusambazwa kwa picha jongefu (video) na chatting zinazodaiwa kuwa ni za msanii mwenzao Harmonize na mtoto wa Kajala, Paula.
Video nzima ipo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Global TV Online.