
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 17, 2021 atawatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma .

Rais Samia anatunuku Kamisheni Maafisa Wananfunzi 393 Kundi la 01/2017 Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 68/2020 pamoja na Mahafali ya kwanza ya Shahada ya Sayansi ya Jeshi kwa Wanafunzi kundi 01/2017.


