Ni mwendelezo wa mahojiano na MchungajiMstaafu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Richard Hananja , hii ikiwa ni sehemu ya pili ambapo amefunguka mengi ikiwa ni pamoja na kutamani kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya amesema kama Rais Samia Suluhu Hassan atamteua yeye hana tatizo.