×

Spurs Yamtimua Kocha Mourinho

KWA Mujibu Sky Sports, Kocha Jose Mourinho ametimuliwa na Klabu ya Tottenham Hotspur kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo kufuatia mfululizo wa matokeo yasioridhisha tangu alipoanza kuinoa timu hiyo akichukua nafasi ya Mauricio Pochettino.

Mourinho anaicha Spurs kwenye nafasi ya saba Ikiwa na alama 50 kwenye msimamoa wa Ligi kuu ya England.

 

Leave a Comment