
Usiku wa kuamkia leo zimefanyika tuzo za 93 za Oscars/ Academy Awards mwaka 2021, kuwatambaua waliofanya vizuri kwenye kiwanda cha filamu duniani. Filamu ya ‘Nomadland’ imeshinda tuzo nyingi zaidi (3) kati ya vipengele 6 ambavyo ilikuwa ikiwania.
HII NI BAADHI YA ORODHA YA WASHINDI WA TUZO HIZO
BEST PICTURE – Nomadland
BEST ACTOR – Anthony Hopkins, The Father.
BEST ACTRESS – Frances McDormand, Nomadland
BEST DIRECTOR – Chloé Zhao, Nomadland
BEST SUPPORTING ACTRESS – Yuh-Jung Youn, Minari
BEST SUPPORTING ACTOR – Daniel Kaluuya, Judas and the Black Messiah
BEST ANIMATED FEATURE – Soul
BEST ORIGINAL SONG – “Fight for You”, Judas and the Black Messiah.
BEST CINEMATOGRAPHY – Mank
BEST FILM EDITING – Sound of Metal.