×

Video: Mzee wa Utopolo Ndani Ya 255 Global Radio | Krosi Dongo

SHABIKI kindakindaki wa Yanga, Mzee wa Utopolo leo Mei 5, 2021 amefunguka mazito katika kipindi cha Krosi Dongo kinachoruka kupitia Global Radio kuelekea mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, kupigwa Jumamosi Mei 8 kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam

Leave a Comment