×

Gari, Bajaji kwa Bei Chee, Unakosaje kwa Mfano?

TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED kwa idhini tuliyopewa na Zambia Cargo and Logistic Limited tunawatangazia mnada wa hadhara utakaofanyika Jumamosi hii ya Mei 15, 2021 kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Mnada huo utahusisha vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na; magari, bajaji, trailer, cranes, loader, focal lift vifaa mchanganyiko vya karakana, maofisini na majumbani.

Mnada huo utafanyika katika yard ya Zambia Cargo iliyopo Kurasini jijini Dar es Salaam. Unaruhusiwa kuja kukagua magari siku mbili kabla ya mnada kufanyika.

MASHARITI YA MNADA

  1. Mnunuzi atakayebahatika kununua mali hizo atalazimika kulipa papo hapo asilimia 25 ya bei itakatokuwa imefikiwa, na asilimia 75 nyingine atalipa ndani ya siku 14 kuanzia siku ya mnada na akishindwa kulipa mnada utarusidiwa na pesa aliyolipa awali haitarudiswha.
  2. Mnunuzi atakayenunua vifaa vidogovidogo vya nyumbani ama maofisini atalazimika kulipia asilimia 100 ya malipo yote.
  3. Mnunuzi atalazimika kuondoa bidhaa yake aliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote taslimu vinginevyo utalazimika kulipia storage kwa kampuni ya Tambaza.
  4. Gharama za kutoa bidhaa aliyonunua ni za mteja mwenyewe.
  5. Bidhaa itauzwa kama ilivyo na ukiharibu haitarudishwa
  6. Kwa yeyote atakayeharibu mnada hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

Kwa mawasiliano zaidi, fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza Mori Mkabala na Big Born Petrol Station au karibu na La Chaz Pub jijini Dar es Salaaam au piga simu namba

0713 327 989

0718 221 111

0719 375 767

au baruapepe [email protected]

Nyote mnakaribiahwa!

 

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave a Comment