×

Tanzania Mbioni Kuanza Kutumia Mtandao wa 5G

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Kuwe amesema kuwa Tanzania inaelekea kutumia huduma ya 5G.

 

Majaribio ya huduma ya #5G yatafanyika ili kuhakikisha kasi ya Teknolojia inayotakiwa inapatikana ili kuongeza Huduma ya Mawasiliano ya #Data nchini.

 

5G ni kasi ya mtandao ambayo huweza ku-download hadi 10Gbps.

Leave a Comment