×

Rais Samia Awaapisha Wakuu wa Mikoa, Taasisi -(Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Omary Tebweta Mgumba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.
Rais Samia akimuapisha Stephen Nzohabonayo Kagaigai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Rais Samia akimuapisha Brigedia Jenerali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.
Rais Samia akimuapisha Charles Makongoro Nyerere kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
Rais Samia akimuapisha Brigedia Jenerali Charles Mang’era Mbuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Rais Samia akimuapisha David Zacharia Kafulila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
Rais Samia akimuapisha Rosemary Staki Senyamule kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Rais Samia akimuapisha Mwanamvua Hoza Mrindoko kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Queen Cuthbert Sendiga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha wakuu wa mikoa na wakuu wa taasisi leo Mei 19, 2021 kuanzia saa 4:00 asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Tembelea mitandao yetu ya kijamii kuwenza kufahamu yote yatakayojiri.

Leave a Comment