MFANYAKAZI wa nyumba ya Kuhifadhia Marehemu Katika Hosptali Ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha ameleza changamoto aliyoipitia wakati wa wimbi kubwa la taharuki ya ugonjwa wa Corona Ulivyoingia Nchini na changamoto zingine tangu ameanza kuhudumu kwa miaka 18 iliyopita.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx