×

Video: Aliyeanguka Kwenye Karai La Mafuta ya Moto Aomba Msaada


GLOBAL JAMII Wiki hii tumefanya mahojiano na mwanamke, Eva Emmanuel (31) aliyepata ajali ya moto hali iliyomsababishia kuharibika muonekano wa sura yake huku uwezo wake wa kuona ukiwa ni hafifu…

 

Eva kwa sasa anahitaji kiasi cha Shilingi Milioni Moja na Laki tatu kwa ajili ya kufanyiwa Operation ili kuwekewa nyusi kuzuia uchafu kuingia machoni

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment