×

Waziri Ummy Atekeleza Maagizo ya Rais Samia Kariakoo

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu atekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu. Awasimamisha kazi viongozi wa Soko la Kariakoo, Dar kupisha uchunguzi.


Leave a Comment