GLOBAL TV imefanya ‘EXCLUSIVE’ Interview na Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, ambaye kwa sasa yupo jela ya mpira baada ya kufungiwa na TFF kutojihusisha na mpira kwa muda wa miaka mitano…
Na hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano hayo, ambayo amezungumzia kifungo chake hicho, lakini pia sakata la kesi ya Yanga dhidi ya aliyekuwa mchezaji wao, Benard Morrison.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx