×

Rais Samia Ateua Mwenyekiti wa Bodi ya CBE

Rais Samia leo Juni 8, 2021 amemteua Prof. Eleuther Alphonce Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).

Leave a Comment