Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu, leo juni 10, amempokea Rais wa Botswana, Mokgweets Masisi, ambaye amekuja nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx