×

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi wa Reli Ya Kisasa (SGR)-Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Juni 14, ameendelea na ziara ya siku 3 katika jiji la Mwanza. ambapo leo anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa reli ya kisasa SGR.

 

Aidha wakati wa hafla hiyo, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Huawei, Michael Zhang alisema kwa sasa kampuni hiyo inashirikiana na TRC kutoa vifaa vya mawasiliano na huduma kwenye mradi wa SGR ikiwemo Mfumo Teknolojia ya Mawasiliano-Reli (GSM-R), ambayo baadae itabadilika kuwa mfumo wa LTE- R.

“Niimani yetu kwamba chini ya uongozi mpya wa Rais Mama Samia Suluhu , Huawei itaendelea kujenga Miundombinu ya TEHAMA kulingana na Dira ya maendeleo ya Tanzania 2025,” aliahidi.

Leave a Comment