Uongozi wa Klabu ya Yanga leo Juni 19, 2021 unauarifa Umma kwamba umekubalina na maombi ya kujiuzulu nafasi yake Kocha wa timu ya Wanawake, Yanga Princess, Edna Lema kuanzia leo.