KATIKA kipindi cha ‘MAPITO’ leo Julai 06, mtaalam wa masuala ya mahusiano, Sheikh Abdulrazack, ambaye pia ni mume wa mtangazaji Diva the Bawse anafunguka mambo mengi ikiwemo kuvunjika kwa ndoa yake na mtangazaji huyo.