KLABU ya Yanga leo Juni 27, 2021 wanafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa.