×

Video: Simba Watoa Kauli Za Kibabe Kuelekea Mchezo Wao Dhidi Ya Al Ahly – Super League


Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema Oktoba 14, 2023 klabu hiyo itazindua rasmi Wiki ya Kispika itakayohusisha msafara wa magari zaidi ya 200 kuelekea Ufukwe wa Coco ambapo mashabiki wa klabu hiyo watajumuika pamoja.

Leave a Comment