×

Video: Sabaya Alivyofikishwa Mahakamani Chini Ya Ulinzi Mkali


Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano leo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha wakitokea Mahabusu katika gereza la kisongo wakikabiliwa na makosa mbalimbali likiwemo la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kupokea rushwa… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment