Mama Dangote: Sihongi Wanaume Global Publishers July 8, 2021 0 Comments SHARE THIS: Mama Dongote amemjibu mmoja kati ya mtu alie comment na kusema kua ni ngumu sana wao kuachana kutokana na kwamba mama Dongote ni muhongaji, amekanusha shauri hilo na kusema kua yeye hua hana tabia ya Kuhonga mwanaume. SHARE THIS: