MSANII wa Bongo Fleva anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa, Nassib Abdul ‘Diamond’ Julai 15, 2021 ametoa wimbo mpya wa IYO amewashirikisha Focalistic , Mapara A Jazz & Ntosh Gazi.