×

Video: Mamia Wamzika Mtoto wa Kipanya ‘Malcom’ Kisutu Dar

MAZIKO ya mwili wa mtoto wa Masoud Kipanya, Malcom Kipanya yamefanyika leo Julai 29, 2021 katika Makaburi ya Kisutu Dar es salaam.

Maziko hayo yamehudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, Bosi wa Kampuni ya GSM inayoidhamini Yanga, Ghalib Said Mohamed, Mwigizaji Steve Nyerere, Msanii Ommy Dimpoz, wafanyakazi wa Clouds Media na wengine.

Malcom Ally Masoud Kipanya alifariki dunia Jumatano, Julai 28, 2021.

Leave a Comment