Ali Kamwe Awachapa Simba, CAF Yaamua Kwa Kishindo – Video
Global Publishers January 15, 2025 4,690 views 0 Comments
SHARE THIS:
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefunguka mbele ya wanahabari mara baada ya kuwasili na kueleza kuwa Yanga ni watu wa mahesabu, kwani walipiga mahesabu na kujua wapi watakusanya alama zitakazowapeleka hatua ya robo fainali.