
Rais Samia kesho Agosti 2, 2021 anatarajia kuanza ziara ya siku 2 nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais Kagame ili kuimarisharisha ushirikiano baina ya Tanzania na Rwanda.
Anatarajia kufanya mazungumzo na Rais Kagame na kusaini hati za makubaliano kadhaa
