×

Chanjo ya Corona: Ukitazama Video Hii, Utaamua Uchanje au Usichanje! – Video

KUMEIBUKA nadharia mbalimbali tangu chanjo ya Uviko 19 iliporuhusiwa na Serikali kuingia nchini Tanzania na baadae watumishi wa Serikali na Watanzania wengine wakiongozwa na Rais Samia kupata chanjo hiyo.

 

Nadharia hizi zimekuwa na mitazamo hasi na chanya kwa wananchi huku zikiwaacha njia panda wananchi na kushindwa kufanya maamuzi sahihi zidi ya mitazamo hiyo.

 

Moja ya mambo yanayotajwa na baadhi ya watu ni kwamba chanjo inaingia kwenye utu wa mtu (DNA) na hivyo kuleta hofu ya nini kitatokea endapo utu wa mtu utakuwa umeingiliwa.

 

Video hii inajibu nadharia nyingi kati ya zilizoibuka na hivyo kumpa mwananchi nafasi kubwa zaidi ya kufanya maamuzi ya KUCHANJWA au KUTOCHANJWA….

TAZAMA HAPA VIDEO FULL KUPITIA GLOBAL TV ONLINE HAPA

Leave a Comment