×

Heri ya Kuzaliwa Eric Shigongo, Mkurugenzi Mtendaji Global Group

LEO AGOSTI 10, 2021 ni siku muhimu  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa,  Eric James Shigongo, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

 

Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Group iliyopo Sinza Mori jijini Dar, tunakutakia  heri ya kuzaliwa.

 

Tunatambua mchango wako ni mkubwa  kwa wafanyakazi wote wa Global Group na Tanzania kwa jumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, akuongoze na akupe nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Heri ya Kuzaliwa Eric James Shigongo!

Leave a Comment