×

Serikali Yasitisha Leseni ya Gazeti la Uhuru

Serikali imesitisha leseni ya Gazeti la Uhuru kwa siku 14 kuanzia Agosti 12, 2021. Mkurugenzi wa Habari-MAELEZO, Gerson Msigwa amesema habari yenye kichwa ‘Sina wazo la kugombea urais 2025-Samia,’ ina upungufu kisheria na kiuandishi, kwani imetoa taarifa za uongo dhidi ya Rais.

Leave a Comment