×

Arsenal Waanza kwa Kichapo


Akiwa ugenini, Arsenal anachezea kichapo cha goli 2-0 dhidi ya Brentford. Washika Bunduki wa jiji la London wanaanza msibu kwa kichapo kitakatifu. Inaitwa kidali poo kalale nacho. Klabu iliyopanda daraja kwenye Ligi Kuu ya England msimu huu wa 2021/22.

Ligi hiyo imeanza leo kwa mechi moja kuchezwa. Bingwa mtetezi ni #ManCity

FT: Brentford 2-0 Arsenal
Wafungaji:
⚽ Sergi Canos 22′
🎯 Ethan Pinnock
⚽ Christian Noergaad 73′

Leave a Comment