×

Tanzia: Dk. Massawe Afariki Dunia

Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Augustine Massawe amefariki dunia leo Agosti 13, 2021 wakati anapatiwa matibabu hospitalini hapo.

 

Dk. Massawe ni daktari maarufu ambaye amekuwa akitibu watoto tangu mwanzoni mwa miaka ya 1980. Familia ya Marehemu imethibitisha kutokea kwa msiba huo.

Leave a Comment