×

Breaking: Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Tanzania Waongezwa

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amethibitisha kuwa vilabu vya Tanzania vitaruhusiwa kusajili wachezaji 12 kutoka nje ya Tanzania, ambapo wachezaji nane pekee ndiyo watakaotumika kwenye michuano ya ndani.

Leave a Comment