×

Piga Mkwanja Wako Ndani Ya Manchester Derby

Jumapili hii shughuli itakua pale katika dimba la Old Trafford ambapo kutakua na mtanange mkali wa kukata na shoka na si mwingine ni Manchester Derby kati ya Manchester United wakiikaribisha Manchester City mchezo ambao unaweza kukupatia mkwanja wa kutosha wewe mteja wa Meridianbet kwani umepewa ODDS KUBWA kabisa.

Manchester United watahitaji kuhakikisha wanalipa kisasi baada ya kupoteza mchezo wao wa mwisho dhidi ya mahasimu wao hao katika mchezo wa fainali ya kombe la FA, Hivo mchezo huo unatarajiwa kua wakibabe zaidi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Vilabu hivi kutoka jiji la Manchester kila vinapokutana mchezo hua ni mgumu ikiwa haijalishi ni nani yupo kwenye ubora, Hivo mchezo wa kesho unatarajiwa kua wa kukata na shoka na uzuri pale Meridianbet mchezo huu unapatikana hivo unaweza kubashiri mchezo huu na ujipigie mkwanja wako.

Mbali na Manchester Derby lakini Jumapili itakua imepambwa na michezo mingine mikali kutoka katika ligi mbali mbali barani ulaya kuanzia pale Uingereza, Hispania, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na hata Uholanzi.

Jumapili kutakua na mchezo wa kibabe sana pale kwenye ligi kuu ya Uingereza ambapo klabu ya Aston Villa watakua dimbani kumenyana na Luton Town ikisubiriwa kama vijana wa Unai Emery wataendeleza dozi, Lakini wagonga nyundo wa London nao klabu ya Westham United watakua nyumbani kumenyana na klabu ya Everton, Mchezo mwingine ambao unaweza kukupa maokoto ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Nottingham Forest.

Pale Italia Jumapili itakua ya kikubwa na ya kibabe kabisa ambapo klabu ya As Roma itakua nyumbani katika uwanja wao wa Estadio de Oylimpico kuwakaribisha klabu ya Inter Milan kila mmoja akihakikisha anapata matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi kuu ya Italia, Mchezo mwingine wa kukata na shoka pale Serie A utakua kati ya klabu ya Napoli ambao watakua nyumbani kuikaribisha Ac Milan ambayo imetoka kupoteza mchezo uliopita hivo mchezo huu utakua sehemu ya kutaka kurejea kwenye njia ya ushindi.

Balaa lingine litakua pale Uholanzi ambapo itapigwa bonge la mechi ambayo mchezo wa mahasimu wakubwa nchini humo klabu ya PSV Eindhoven wakicheza na Ajax Amsterdam ambayo kwasasa imeonekana kushuka ubora kwa kiasi kikubwa, Lakini kwakua mchezo huu ni wa mahasimu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa.

 

Leave a Comment