Global Publishers August 24, 2021 4,054 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha kusikiliza kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili na kupanga kutoa hukumu Oktoba 01, 2021.