KLABU ya Yanga leo Agosti 25, 2021 wanafanya uzinduzi wa jezi mpya za msimu wa 2021/22 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam hadi sasa kwa wingi wa mashabiki waliojitokeza ukumbi unaweza usitoshe.