×

Video: Simba Wafanya Mapinduzi Ya Kidigitali, Wazindua App Yao

Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari, Ezekiel Kimwaga leo Agosti 26, 2021 akiongea na wanahabari amezindua Simba App katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwenye uzinduzi wa App hiyo, Kimwaga amesema kuwa ubora wake utawafanya mashabiki wa Simba kupata habari na matukio mabalimbali ya timu hiyo.

Leave a Comment