×

Video: Miili ya Askari Waliouwawa Kwenye Shambulio Dar Yaagwa

Miili ya Askari Polisi watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliiuwawa na kijana mmoja juzi Jumatano karibu na Ubalozi wa Ufaransa, Dar es Salaam inaagwa leo Ijumaa Agosti 27, 2021 katika viwanja vya Polisi, Kurasini mkoani Dar es Salaam.

 

Leave a Comment