Global Publishers August 29, 2021 4,554 views 0 Comments
SHARE THIS:
Msemaji wa Yanga, Haji Manara akifunga kamba za viatu vya kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Feitoto’ ambaye amekuwa akimuhusudu tangu akiwa Simba.
Msemaji wa Yanga, Haji Manara leo amefunga kamba za viatu vya kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Feitoto’ ambaye amekuwa akimuhusudu tangu akiwa Simba kwenye kilele cha Wiki Ya Mwananchi katika dimba la Benjamin Mkapa.