×

Drake, Soulja Boy Waachia Mawe Yao Pamoja

STAR wa muziki nchini Marekani, Drake ameamua kukata kiu ya mashabiki wake baada ya kuachia rasmi albamu yake CERTIFIED LOVER BOY (CLB) yenye jumla ya mikwaju 21 ya moto, kwenye #CLB Kuna vichwa Kama Jay Z, Lil Wayne, Future, Young Thug, Lil baby, Lil Durk, Travis Scott na Tems, ni wakati wa mashabiki kusema nani mkali kati ya Drake na Kanye sababu album zao hazijapishana sana.

Kwa upande wake, Soulja Boy (Draco) naye ameachia dude la albamu yake aliyoipa jina la SWAG4 yenye ngoma 14.

 

Mwanadada anaye chipukia kwa sasa kutokea Nigeria Tems amepata nafasi ya kushiriki launching ya albamu ya Drake akiungana na mastaa Kama Jay Z, Future na Young Thug ambao wameshirikishwa kwenye album ya Drake.

 

Tems amabye umarufu wake umezidi kukuwa baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya ESSENCE kutoka Kwa Wizkid. Ngoma ya ESSENCE imesaidia Kwa kiasi kikubwa Tems na huenda ikiwa ndio sababu ya yeye kupata nafasi ya kushirikishwa kwenye album hiyo.

 

Leave a Comment