×

Rais Samia Amemteua Dkt. Feleshi Kuwa Mwanasheria Mkuu


Rais Samia amemteua aliyekuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Dkt. Eliezer Feleshi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Anachukua nafasi ya Prof. Adelardus Kilangi ambaye ameteuliwa kuwa Balozi


Leave a Comment