×

Mwili wa Hans Pope Waagwa – Video

MWILI wa Aliyekuwa mjumbe wa kamati ya haki na sheria za wachezaji (TFF) na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi (Simba SC), Zacharia Hanspope, unatarajiwa kufanyiwa ibada maalumu na kuagwa katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo Septemba 13, 2021.

 

Leave a Comment