RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Septemba 14 amezindua mkakati wa uelimishaji na uhamasihaji wa Sensa ya watu na makazi jijini Dodoma… Wasanii mashuhuri Alikiba na Diamond ni miongoni mwa wageni waliohudhuria uzinduzi huo…