×

Mwili wa Hans Pope Wazikwa Iringa

MWILI wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu hiyo, Zakaria Hans Pope umepumzishwa katika nyumba yake ya milele eneo la Kihesa Mkimbizi mkoani Iringa jana Jumatano Septemba 15, 2021.

 

 

Hans Pope alifariki dunia usiku wa Ijumaa, Septemba 10, 2021 katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

 

Bwana aitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

 

 

 

Leave a Comment