
Mastaa na watu mbalimbali wamerudisha chimbo la mgahawa wa Samaki Samaki,uliopo Mlimani City, jijini Dar,baada ya kuizundua upya mgahawa huo ambao utakuwa na vibe la kutosha kama ilivyokuwa huko nyuma,huku baadhi ya mastaa mbalimbali,waliokuwa wakikusanyika na kufanya mambo yao mbalimbali huku wakicheza na kufurahiana kwa ukaribu na mashabiki wao limerudi upya kabisa.
