MSEMAJI wa Yanga Haji Manara leo Septemba 25, kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ameibuka jukwaa la mashabiki, ambapo alipigiwa shangwe la kutosha msahabiki wa Jangwani.