
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan jana Septemba 27, 2021,amepokea hati za utambulisho kwa mabalozi wa Somalia na Ufaransa nchini.
Rais Samia alipokea hati hizo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma kutoka kwa Balozi wa Somalia Nchini, Zahra Ali Hassan pamoja na Nabil Hajlaoui, Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania.