×

Wakulima Na Wafugaji Wapasuana-Video

Vurugu hizo za wakulima na wafugaji zimetokea Same Chekereni mkoani kilimanjaro baada ya wafugaji hao kuingiza mifugo katika mashamba yao.

Leave a Comment